Wafugaji katika kaunti ya Taita Taveta kutafutiwa soko la mifugo

  • | Citizen TV
    135 views

    Wafugaji katika kaunti ya Taita Taveta wamepongeza hatua ya serikali kuu na ile ya kaunti kwa kuwatafutia soko la mifugo nje ya nchi.