Wafugaji katika kaunti ya West Pokot watakiwa kujihusisha zaidi na kilimo

  • | Citizen TV
    152 views

    Wafugaji katika kaunti ya West Pokot wametakiwa kujitosa katika maswala ya kilimo ili kuhakikisha eneo hilo linazalisha vyakula kwa wingi. Wakaazi wakitakiwa kutumia fursa ya mvua inayonyesha kwa sasa. Wataalamu wa kilimo eneo hili wanahoji kuwa kaunti hiyo ina uwezo wa kuzalisha vyakula vya kutosha iwapo wakazi watajitosa katika kilimo