Wafugaji kaunti ya Garissa wazamia ukulima kutokana na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    379 views

    Wafugaji katika kaunti ya Garissa ambao wamekuwa wakipoteza mifugo wao kila msimu wa ukame, sasa wameamua kuzamia ukulima kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.