Wafugaji North rift wataka serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu watu wanaotumia ardhi yao bila idhini

  • | Citizen TV
    317 views

    Wafugaji katika eneo la North Rift wanaitaka serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu watu wanaotumia ardhi ya jamii hiyo bila idhini yao.