Wafugaji Nyandarua waboresha uzalishaji kwa lishe za kisasa

  • | Citizen TV
    300 views

    Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa kaunti ya Nyandarua wanatumia lishe za kisasa kwa mifugo kama njia ya kuongeza uzalishaji wa maziwa na kupunguza gharama ya uzalishaji. Kwa miaka mingi, malisho duni yamekuwa kikwazo kikuu. Lakini sasa, mafunzo bora na kilimo cha lishe za kisasa yanabadilisha taswira ya sekta ya maziwa