Wafugaji samaki wa vizimbani wamekufa ziwa Victoria

  • | Citizen TV
    944 views

    Wafugaji wa samaki wa kukuzwa kwenye vizimba katika ziwa Viktoria wanakadiria hasara baada ya samaki kuanza kufa ghafla kuanzia siku ya Jumanne. Kulingana na wafugaji walioathirika, samaki waliokufa walikosa hewa ya oksijeni, kwenye tukio lililokisiwa kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi milioni 20