Wafugaji Samburu walalamikia gharama ya matibabu

  • | Citizen TV
    139 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu sasa wana matumaini ya kupata matibabu kwa gharama ya chini baada ya kusajiliwa kwenye hazina ya kitaifa ya Bima ya Matibabu.