Wafugaji wa eneo hatari la Malaso wahimizwa kushiriki katika kilimo

  • | Citizen TV
    418 views

    Wafugaji walioathirika na wizi wa mifugo katika eneo hatari la Malaso na kuwapoteza mifugo waliotegemea katika kukidhi mahitaji ya familia zao, wametakiwa kugeukia kilimo kama njia Moja ya kukabiliana na wizi wa mifugo na pia kuhakikisha kuwa kuna chakula cha kuwatosheleza.