- 560 viewsDuration: 4:32Wafugaji wa nguruwe katika kaunti za Busia na Kakamega wametakiwa kizingatia lishe bora kwa mifugo wao ili kuongeza uzito unaofaa kwa soko kwa muda mfupi na kuwawezesha kupata faida kubwa. Imebainika kuwa wafugaji wengi wa nguruwe katika kaunti ya Busia hupuuza lishe bora kwa mifugo wao na kuwalisha takataka na nyasi, hali ambayo huathiri ukuaji wa mifugo hao na kuwapunguzia wakulima mapato..