Wafugaji wa nyuki 360 wapewa mafunzo maalum Kwale

  • | Citizen TV
    90 views

    Watu 360 kutoka eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wamenufaika na mafunzo na vifaa vya kisasa vya ufugaji nyuki kupitia ushirikiano wa serikali ya kaunti ya Kwale na shirika la Kidscare.