7 May 2026 1:26 pm | Citizen TV 36 views Wafugaji katika eneo la Oldonyiro kaunti ya Isiolo waliandamana kupinga ujenzi wa bwawa katika eneo la Nantudu.