Wafugaji wa punda kaunti ya Turkana wapinga hatua ya kufungua tena vichinjio vya punda

  • | Citizen TV
    245 views

    Wamiliki na Wafugaji wa Punda mjini Lodwar kaunti ya Turkana wamepinga hatua ya serikali ya kutaka kufungua tena vichinjio vya punda. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, Wafugaji hao wanadai kuwa kufunguliwa upya kwa vichinjio hivyo,kutatokomeza idadi ya punda nchini .