Wafugaji wafunzwa kupanda nyasi, Kajiado

  • | Citizen TV
    147 views

    Huku ukosefu wa ajira nchini ukizidi kuwa changamoto kubwa kwa vijana nchini, makanisa 15 katika kaunti ya Kajiado yameanda mafunzo ya siku 2 katika eneo la Isinya kuwafunza vijana kuhusu mbinu mbalimbali za kibiashara ili waweze kujikimu kimaisha.vijana hao walilalamikia ukosefu wa mtaji wa kuanzisha biashara kama changamoto kuu inayowasababisha kukosa kazi.