Wafugaji wageukia kuku baada ya ukame na wizi wa mifugo kuwapa hasara

  • | Citizen TV
    223 views

    Ukame wa mara kwa mara na visa vya wizi wa mifugo kaskazini mwa nchi mara kwa mara huwaacha wafugaji katika maeneo hayo wakikadiria hasara ya kufariki na wizi wa mifugo