13 Mar 2026 1:19 pm | Citizen TV 847 views Duration: 2:52 Ni afueni kwa wafugaji walioathirika na ukame pamoja na wizi wa mifugo kaunti ya samburu,baada ya serikali ya kaunti hiyo kuwapa fidia. Wafugaji hao wamepewa ngamia ili waendeleze ufagaji