Wafugaji watakiwa kuwaacha wasichana wasome

  • | Citizen TV
    95 views

    Jamii ya Wasamburu imehimizwa kukomesha Mila zilizopitwa na wakati kama vile ukeketaji,na Ndoa za mapema ili kuwaezesha watoto wa kike kupata elimu