Wafugaji wikabiliana na athari za ukame katika kaunti ya Kajiado

  • | KBC Video
    26 views

    Mifugo wengi wameripotiwa kufa katika kaunti ya Kajiado huku wafugaji wakikabiliana na athari za ukame katika eneo hilo. Wafugaji hao sasa wamepungukiwa na mifugo na kutoa wito kwa serikali iwasaidie.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #kajiado #drought