Wafungwa 120 wataachiliwa huru katika gereza la wanaume la Eldoret

  • | Citizen TV
    Huku ulimwengu ukisheherekea siku ya wapendanao hii leo, wafungwa 120 wataachiliwa huru katika gereza la wanaume la eldoret.wafungwa hao pia wamepata zawadi mbalimbali kama magodoro 1000 , mashine 100 ya kunyoa nywele , miongoni mwa zingine kama njia moja wapo ya kuonyesha upendo siku hii.