Skip to main content
Skip to main content

Wafungwa Kamiti wahitimu kwa mafunzo ya kurekebisha wahalifu

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 2:02
    Wafungwa 90 walipewa vyeti vya kuhitimu baada ya kukamilisha mafunzo ya kuwarekebisha tabia wahalifu wa ngono , wakati Idara ya magereza ikichukua hatua ya kukabiliana na changamoto inayosababishwa na kuongezeka kwa makosa yanayohusiana na ngono nchini. Sherehe hiyo iliyofanyika katika Gereza la Kamiti lenye ulinzi wa hali ya juu, na uwakilishi wa kutoka magereza makuu ya Naivasha na Kisumu , ilifanyika wakati takwimu zinaonyesha asilimia 31 ya wafungwa walishtakiwa na kuhukumiwa kwa uhalifu wa kingono.