Wafungwa wajifunza stadi mbalimbali za Maisha Gerezani

  • | BBC Swahili
    2,256 views
    Katika jamii nyingi, magereza huonekana kama maeneo ya adhabu pekee. Lakini visiwani Zanzibar, kuna mwelekeo tofauti kabisa. Mipango maalum imewawezesha wafungwa kujifunza stadi mbalimbali za Maisha, kuanzia useremala hadi kilimo – wakijenga si tu majengo, bali pia maisha mapya. Mwandishi wa BBC @frankmavura ametembelea moja ya vituo hivyo na kutuandalia taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw