Wafungwa wapokea mafunzo Samburu

  • | KBC Video
    12 views

    Kama sehemu ya juhudi za kuwarekebisha tabia wafungwa, gereza la Maralal limeanzisha vipindi cha masomo kuwapa maarifa wafungwa. Mpango huo unalenga hasa wakazi wa Samburu waliokosa fursa ya kwenda shuleni kabla ya kufungwa jela. Gereza hilo kwa sasa lina jumla ya wanafunzi-20 na walimu wawili. Hata hivyo, wafungwa hao hulazimika kusomea katika shule ya Chekechea iliyoko karibu kutokana na ukosefu wa darasa gerezani humo. Wanafunzi hao husoma wakati wa lasiri ingawa walimu wanasema lugha ya mawasiliano ndio changamoto. Sarafina kitar ambaye ni moja wa walimu amelazimika kuwafunza wafungwa hao kwa lugha ya Kiswahili ili kurahisisha mawasiliano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive