Wageni na Wenyeji waukaribisha msimu wa machipuko Washington, DC

  • | VOA Swahili
    185 views
    Majira ya machipuko Washington D.C kwa kawaida yanaleta matumaini ya mandhari ya kuchanua kwa maua aina ya cherry. Lakini, mwaka huu mandhari hayo yamechukua sura tofauti huku maua machache yakichanua kuliko ilivyotarajiwa – ikikumbushia kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Licha ya hali hiyo, mji mkuu bado umechangamka kwa kuwepo wageni na wenyeji, wote wakivutiwa na msisimuko wa msimu huo na hali murua zinazopatikana D.C. Hapa kuna simulizi zaidi ikiletwa na waandishi wa VOA Kahli Abdu na Simms Lumami. #Majira #machipuko #washingtondc #maua #mandhari #cherryblossom #voa #voaswahili #marekani #wageni #wenyeji