Wagonjwa Kasarani, Mwiki na Githurai walalamika kuhusu SHA

  • | NTV Video
    242 views

    Wagonjwa katika mitaa ya Kasarani, Mwiki na Githurai, wamelalamikia kuhusu bima ya afya kwa jamii SHA kukosa kufadhili huduma ya matibabu kwa misingi isiyo eleweka licha ya wenyeji kulipia kila mwezi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya