Wagonjwa Kaunti ya Lamu husafirishwa kutumia boti ya ambulensi kupata huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    377 views

    Wagonjwa maeneo ya Visiwani Kaunti ya Lamu wamekua wakisafirishwa kupata huduma za matibabu hospitali kuu ya King Fahad Kisiwani Amu kutumia boti ya ambulensi huku wakipata huduma zote za kwanza wakiwa safarini ndani ya boti hiyo.