Wagonjwa wa baridi yabisi waongezeka katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    85 views

    Wahudumu wa afya kutoka West Virginia kule Marekani wamesikitikia hali ya kukithiri kwa ugonjwa wa baridi yabisi eneo la Gusii hususan miongoni mwa wakongwe