Wagonjwa wa figo wasimulia masaibu yao na SHA

  • | Citizen TV
    260 views

    Waziri wa afya Deborah Barasa leo alifanya ziara ya ghafla na kukumbana ana kwa ana na changamoto wanazopitia wagonjwa wanaotumia bima mpya ya sha katika hospitali ya Kenyatta hapa Nairobi. Waziri barasa akipata fursa ya kuelezwa kinaga ubaga na wagonjwa kuhusu masaibu wanayopitia kupitia bima hii mpya ya afya.