Wagonjwa wa saratani walalamikia kuhangaishwa na bima ya SHA

  • | NTV Video
    108 views

    Kwa kipindi cha miezi minne sasa, Mzee Gatamu Waigwa, wa umri wa miaka 70 anayegua saratani ya tezi dume ambayo imefika kiwango cha tatu, amekuwa akiamka saa 10 asubuhi kuabiri matatu kutoka Nyeri hadi Nairobi, kupiga kambi kwenye afisi za Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) kusaka huduma.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya