- 237 viewsDuration: 3:04Wagonjwa wa saratani waliandamana nje ya makao makuu ya bima ya sha eneo la Upper Hill hapa Nairobi, wakiitaka serikali kuongeza bima ya matibabu ya saratani. Waandamanaji hao wameilaumu serikali kwa kutozingatia changamoto zao, wakisema kiwango cha sasa kinachotolewa na sha hakilingani na gharama halisi ya matibabu ya ugonjwa huo.