Wagonjwa wakosa huduma katika hospitali ya rufaa Kajiado

  • | Citizen TV
    193 views

    Huku vuta nikuvute kuhusu mgomo wa madaktari ikizidi kushuhudiwa nchini, wagonjwa katika kaunti ya Kajiado ambao bado wanazuru hospitali ya rufaa ya Kajiado kutafuta huduma za matibabu wanalazimika kurejea nyumbani bila kupokea matibabu.