Wagonjwa wanaotegemea hospitali za umma wahangaika

  • | K24 Video
    28 views

    Hospitali ya nakuru level 5 ambayo hutoa huduma kwa maelfu ya wakazi wa Nakuru, Nyandarua, Baringo na kaunti zingine jirani, mara nyingi hujaa wagonjwa na familia za wanaopata huduma. Hata hivyo leo imekuwa na taswira tofauti kwani , ni watu wachache tu walioonekana hospitalini humo kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea nchini. mumbi wambugu anaarifu zaidi kuhusu athari za mgomo huo.