Wagonjwa wanne zaidi wamefariki kutokana na Covid-19

  • | KBC Video
    Wagonjwa wanne zaidi wamefariki kutokana na janga la Covid-19 kutokana na takwimu za hivi punde zilizotolewa na wizara ya afya. Takwimu pia zinadokeza kuwa watu 105 zaidi wameambukizwa virusi vya Korona baada ya sampuli 3,573 kupimwa katika muda wa saa-24 zilizopita. Aidha, wagonjwa 51 wamelazwa kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive