Wagonjwa wasongamana kwenye hospitali ya misheni Kisii

  • | Citizen TV
    356 views

    Hospitali za misheni nchini zinaendelea kukabiliwa na changamoto za idadi kubwa ya wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari unaozidi kulemaza sekta ya afya nchini. Katika hospitali ya Christamarianne mjini Kisii, wagonjwa kutoka kaunti hiyo na wengine kutoka kaunti jirani wamelazimika kujilaza kwenye shoroba wakisubiri kuhudumiwa.