Wahadhiri Chuo Kikuu cha Nairobi watishia kugoma

  • | KBC Video
    23 views

    Chama cha wahadhiri katika chuo kikuu cha Nairobi (UASU) kimetoa ilani ya siku 7 ya mgomo kuhusiana na madai ya matumizi mabaya ya afisi na uongozi mbaya wa chansela wa chuo hicho Profesa Patrick Verkooijen pamoja na mwenyekiti wa baraza hilo Profesa Amukowa Anangwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive