18 Sep 2025 10:09 am | Citizen TV 122 views Mgomo wa wahadhiri kote nchini umeingia siku ya pili hii leo ambapo wahadhiri wa chuo kikuu cha kibabii kaunti ya Bungoma wanashinikiza kutekelezwa kwa mkataba wao na serikali.