Skip to main content
Skip to main content

Wahadhiri wakaa ngumu kwa mapendekezo ya Serikali

  • | Citizen TV
    1,418 views
    Duration: 2:31
    Vyama vya UASU na KUSU vimekataa pendekezo la serikali la kuwalipa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu shilingi bilioni 7.9 katika awamu mbili wakisisitiza mgomo wao utaendelea. Vyama hivyo vikisema wanachama wao watarejea darasani deni litakapolipwa pamoja na kukamilishwa kwa makubaliano ya CBA ya mwaka 2025-2029.