- 1,688 viewsDuration: 2:42Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wanashikilia kuwa hakuna masomo yanayoendelea kwenye vyuo licha ya serikali kusema kuwa yanaendelea katika taasisi nyingi nchini. Muungano wa wahadhiri uasu ukishikilia kuwa hakuna wahadhiri wake waliorudi shuleni huku mgomo wao ukiingia siku ya 43. Haya yanajiri huku wanafunzi wa chuo cha tum huko Mombasa wakiandamana kulalamikia kukwama kwa masomo