- 136 viewsWananchi wa Haiti katika mji mkuu wa Port-au-Prince wako mbiyoni kwa wiki nzima hivi sasa bila ya kujuwa wapi kwenda kutokana na mapigano kati ya magenge ya uhalifu na polisi. Ghasia hiso zilizuka wiki moja iliyopita na kuilazimisha serikali kutangaza hali ya dharura, na Marekani kuwaondowa raia wake kuanzia siku ya Jumapili. Hali katika nchi hiyo ya Caribean inaripotiwa kuwa mbaya sana na kuisababisha Jumuia ya kimataifa kueleza wasi wasi wake na kutoa wito wa kusitisha ghasia na kudumisha amani. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wahaiti waukimbia mji kutokana na mapigano kati ya polisi na magenge ya wahalifu
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - Poverty, neglect, and shifting norms are driving early sex and marriage, as Kenya grapples with a sexuality education gap.
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business