24 Feb 2026 1:06 pm | Citizen TV 904 views Duration: 1:34 Washukiwa 17 wamekamatwa kwenye operesheni za kiusalama zinazoendeshwa na polisi katika maeneo mbalimbali ya pwani. Misako hii ikifuatia kuongezeka kwa visa vya uhalifu Kilifi.