Wahalifu wapora watu na kuiba simu katikati ya waandamanaji jijini Mombasa

  • | NTV Video
    1,613 views

    Watu wanaoaminika kuwa wahuni waliingia kati ya waandamanaji Mombasa na kutekeleza uhalifu kwa kupora mali na hata kuwashambulia wenyeji. Kundi hilo la vijana liliwahangaisha wenyeji kwa muda na kuwalazimu maafisa wa polisi kuingilia kati wakiwakamata baadhi yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya