Wahandisi wa Nigeria walalama kuwa China inaongoza katika sekta ya Ujenzi nchini Nigeria.

  • | VOA Swahili
    77 views
    China inaongoza katika sekta ya ujenzi nchini Nigeria, kwa mujibu wa ubalozi wa China mjini Abuja. Hata hivyo, wakandarasi wa Nigeria na wahandisi wanasema makampuni ya kichina yanawalazimisha kutoka kwenye miradi mikubwa.