Wahandisi waitaka serikali kushughulikia suala la madeni nchini

  • | KBC Video
    3 views

    Taasisi ya wahandisi humu nchini imeitaka serikali kushughulikia suala la madeni ambayo hayajalipwa ambalo limesalia kuwa kero kubwa katika sekta ya uhandisi. Kwa mujibu wa rais wa taasisi hiyo, Shammah Kiteme ulipaji wa madeni hayo utakuwa afueni kwa wenye biashara na kufungua fursa za ajira humu nchini. Aidha, Kiteme alielezea haja ya serikali kutilia mkazo ustawishaji viwanda ili kufanikisha ustawi wa uchumi kwani viwanda ni nguzo ya maendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive