Wahisani wajitokeza kuchimba visima vya maji kwa kaya masikini Afrika

  • | VOA Swahili
    Wahisani mbalimbali kama vile kanisa katoliki na living water wajitokeza kuchimba visima vya maji kwa kaya masikini Afrika wakati huu ambapo maji yanahitajika katika mapambano dhidi ya virusi vya corona.