Skip to main content
Skip to main content

Wahitimu wa Chuo cha Aga Khan wahimizwa kutumia maarifa ya kisasa kutatua changamoto za kimataifa

  • | NTV Video
    40 views
    Chansela wa Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) Mwadhama Shah Rahim al - Hussaini, amewahimiza wahitimu wa Darasa la 2025 kutumia maarifa ya kisasa kutatua changamoto za kimataifa, akisisitiza kuwa elimu ni chombo kilicho na nguvu ya kubadilisha jamii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya