Wahubiri wataka serikali na madaktari kusikilizana

  • | Citizen TV
    84 views

    Viongozi wa muungano wa wahubiri katika kaunti ndogo ya kimilili wametaka serikali na madaktari kutupilia mbali tofauti zao na kushiriki mazungumzo yatakayorejesha huduma za madaktari katika hospitali za umma.