Wahudumu boda boda Mombasa watishia kurejesha pikipik zao za elektroniki kwa madai ya huduma duni

  • | Citizen TV
    22,979 views

    Wahudumu boda boda za kutumia nguvu za umeme kaunti ya Mombasa wametishia kurejesha pikipiki hizo kwa kampuni miliki kwa madai ya huduma duni pamoja na nyongeza ya malipo