Wahudumu wa afya katika Hospitali ya Port Victoria waamriwa kususia kutoa huduma zao

  • | West TV
    40 views
    Viongozi na watetezi wa vyama vya kuwatetea wahudumu wa afya wamewaamrisha wahudumu wa afya katika hospitali ya Port Victoria kwa kile wanadai jamii ya eneo hilo kuvamia na kunyanyasa wahudumu wa afya katika hospitali hiyo