Wahudumu wa afya katika kaunti ya Busia watangaza kuanza mgomo kesho

  • | Citizen TV
    92 views

    Wahudumu wa afya katika kaunti ya Busia wametangaza kuanza mgomo wao rasmi hapo kesho wakisema serikali ya kaunti inawachezea shere na kukosa kutoa suluhu ya kudumu kwa malalamishi yao.