18 Sep 2025 1:27 pm | Citizen TV 78 views Wahudumu wa afya katika kaunti ya nairobi wameanza mgomo wao rasmi leo wakilalamikia mishahara ya mwezi wa agosti ambayo haijalipwa pamoja na kutowasilishwa kwa makato ya miezi mitatu iliyopita.