20 Mar 2026 1:19 pm | Citizen TV 151 views Duration: 1:43 Huenda huduma katika hospitali zote za umma kaunti ya Laikipia zikaathirika baada ya vyama vitano vya wafanyakazi wa afya kutangaza mgomo kuanzia saa sita usiku wa Jumatatu ijayo.