Wahudumu wa Afya kwa mpango wa UHC waandamana

  • | Citizen TV
    289 views

    Wahudumu nwa afya chini ya mpango wa UHC wameendelea na maandamano yao kushinikiza serikali ya kitaifa kuwapa kandarasi za kudumu kabla ya kuhamishwa serikali za kaunti. Wahudumu hao wameishtumu wizara ya afya kwa ubaguzi baada ya kutatua mgogoro ya madaktari na kuwaacha kando wahudumu hao zaidi ya elfu nane.